Jeremiah 6:21

21 aKwa hiyo hivi ndivyo asemavyo Bwana:

“Nitaweka vikwazo mbele ya watu hawa.
Baba na wana wao watajikwaa juu yake,
majirani na marafiki wataangamia.”
Copyright information for SwhNEN